Rais Mstaafu wa awamu ya 4 JMK aenda Mecca Kuhiji.

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Profesa Mohamed Janabi wakihudhuria Ibada ya Hijja mjini Mecca, Saudi Arabia.

Comments

News