HAYA HAPA ORODHA YA MAJINA YA MAKATIBU WA UVCCM WILAYA.

 

SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa
katika kikao chake kilichofanyika Machi
30,2022 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete
(Convention) jijini Dodoma imefanya uteuzi
wa Makatibu wa UVcCM wilaya na kufanya
1mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya
makatibu wa UVCCM.
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVcCM)
Taifa, Bw.Kenani Kihongosi.
"Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi inapenda kuwajulisha
wanachama wote wa Chama Cha
Mapinduzi na wanachama wa Jumuiya
ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)
kwamba, Sekretarieti ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake
kilichofanyika tarehe 30/03/2022, Ukumbi
wa Jakaya Kikwete (Convention) jijini
Dodoma, kimefanya uteuzi wa makatibu wa
UVCCM wilaya kama ifuatavyo;


A






Ok



Comments

News