RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO UBELGIJI NA LUXEMBOURG, AKIWA JIJINI BRUSSELS, NCHINI UBELGIJI.

 RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO UBELGIJI NA LUXEMBOURG, AKIWA JIJINI BRUSSELS, NCHINI UBELGIJI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  . katika Kikao na Watanzania nchini Ubelgiji na Luxembourg, akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
 
Watanzania nchini Ubelgiji na Luxembourg, wakisikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  alipokutana na akiwa  Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Baadhi ya Watanzania nchini Ubelgiji na Luxembourg, wakisikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokutana na nao akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  akiwa na baadhi ya Watanzania nchini Ubelgiji na Luxemburg, baada ya matumizi yao, akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania ambao nchini Ubelgiji na Luxembourg, ambao walihudhuria kikao hicho, Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022. (Picha na Ikulu).

Comments

News