ROVOS NDANI YA TANZANIA KUPITIA RELI YA TAZARA.
Treni ya kifahari inayojulikana kwa jina la ROVOS ambayo ni miongoni mwa treni tatu bora duniani imewasili jijini Dar es Salaam kwa kutumia reli ya Tazara ikiwa na watalii 64. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea vivutio vya utalii.








Comments
Post a Comment