HONGERA WAZIRI NCHEMBA!
HONGERA WAZIRI NCHEMBA!
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba amefika kwenye mgodi wa Nyamhuna-Geita kufuatilia unyanyaswaji aliyofanyiwa raia mtanzania na mwajiri wake.
Mhe. Nchemba aliwaamulu polisi kuwakamata watuhumiwa wote waliohusika na kitendo hicho kiovu, akiwepo muhusika mkuu ambaye ni raia mwenye asili ya China. Utaratibu unafanyika kuhakikisha wanafikishwa mahakamani.
Serikali haiwezi kuvumilia vitendo kama hivi vya uvunjaji wa sheria na kuhatarisha amani ya nchi.










Comments
Post a Comment